Life

ILANI YA CCM 2010 PDF

August 1, 2020

alias ‘Msomaji Raia’ argued that if CCM was not Nyerere’s mother, and thus could Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Oktoba 31 ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA – UTANGULIZI 1. Katika Uchaguzi wa kushindanisha vyama vingi vya siasa ili kutwaa. wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka kwa by, , Mpigachapa Mkuu wa Serikali edition, in Swahili.

Author: Faurg Shakabar
Country: Equatorial Guinea
Language: English (Spanish)
Genre: History
Published (Last): 27 March 2004
Pages: 233
PDF File Size: 15.65 Mb
ePub File Size: 14.5 Mb
ISBN: 839-4-24493-746-4
Downloads: 3521
Price: Free* [*Free Regsitration Required]
Uploader: Malara

Published on Apr View Download 0. Katika Uchaguzi wa kushindanisha vyama vingi vya siasa ili kutwaa Dola na kuunda Serikali kila Chama hutarajiwa kuandaa Ilani ya Uchaguzi. Ilani hutafsiri na huelezea Sera za Chama kuhusu maeneo muhimu ya siasa, uchumi na jamii na hutoa maelezo fasaha kuhusu mikakati ya utekelezaji wa sera zinazonadiwa pindi wagombea wake wakifanikiwa kushinda. Aidha hutoa ahadi kwa Wananchi kuhusu mambo ambayo Chama kitaelekeza na kusimamia Serikali kutekeleza.

Kwa hiyo Ilani ya Uchaguzi ni Maelezo ya Sera katika kipindi husika, na inalenga kuwaeleza Wananchi ni mambo gani Chama kitafanya iwapo kitashinda Uchaguzi na kuunda Serikali. Ilani hii ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka hadi inalengo hilo hilo. Vile vile CCM inatambua kuwa modenaizesheni ya uchumi na Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ndiyo mikakati sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa.

Mwelekeo wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi katika – Google Books

Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya karne ya ishirini ya dunia na ya nchi. Dunia ya leo imegawanyika katika nchi za kaskazini na nchi za kusini. Nchi zote za dunia kwa ujumla wake zimeathirika na mtikisiko wa fedha na uchumi. Athari za mtikisiko huo zinaonekana kutofautiana kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine.

Aidha nchi za Kaskazini zilizoendelea zimeathirika zaidi kuliko nchi za Kusini. Hata hivyo, athari ndogo kwa Nchi ya Kusini huongeza tatizo la Umaskini na changamoto ya ujenzi wa uchumi. Ilani hii ya CCM inatolewa katika mazingira ya hayo.

Nchi yetu ni nchi miongoni mwa nchi za Kusini na kwa hiyo mtikisiko mdogo umetuongezea makali ya tatizo letu la msingi la uchumi ulio nyuma.

Ilani ya CCM 2010 – 2015

Aidha tatizo la nchi yetu ni la uchumi ulio nyuma na tegemezi. Jitihada zinapaswa kuchukuliwa ili kuondokana na hali hiyo.

Katika mazingira ya dunia ya sasa ya kiuchumi na kisiasa, bila kufanya hivyo uchumi wa soko wa dunia, utandawazi na nguvu za kiuchumi za nchi za kaskazini utaendelea kuididimiza nchi yetu katika lindi la umasikini, uchumi duni na tegemezi.

Hali ya Nchi yetu 7. Pamoja na mafanikio mengi tuliyopata na changamoto zilizojitokeza, tuna fursa kubwa ya kuendelea kujenga uchumi wa kisasa ili kumudu ushindani katika mazingira ya utandawazi na kuongeza tija kwa kasi zaidi. Nchi yetu inatambua kuwa changamoto kubwa inayotukabili ni suala la Mapinduzi ya kilimo, ufugaji, uvuvi na viwanda. Tukiyamudu Mapinduzi hayo, uchumi utakuwa wa kisasa unaoweza kuzalisha ziada kubwa ya mali na kutoa huduma za kijamii zilizo bora zaidi kwa manufaa ya wananchi wote.

Matokeo yake ni kwamba kila mwaka nchi itazalisha chakula cha kutosha na kuuza nje ziada ili kupata fedha za kigeni. Mchakato wa modenaizesheni ya uchumi na kuitoa nchi yenye uchumi tegemezi kuelekea uchumi wa kisasa unahitaji kuzingatia vipaumbele vya msingi vifuatavyo: Lengo la msingi katika kukabiliana na vipaumbele hivi ni kuchochea uwezo wa kuongeza uzalishaji, jambo ambalo litawezekana kutokana na kuongezeka kwa ufanisi na tija na ziada kubwa katika uchumi.

  ANATOMIA DEL YOGA LESLIE KAMINOFF PDF

Hatua za msingi kuanzisha mchakato wa Kujenga Uchumi wa Kisasa zilishaanza. Kinachohitajika kwa sasa ni kuongeza kasi, utashi na dhamira ya ujenzi wa uchumi wa kisasai na kwa muda mfupi uliopangwa katika Dira za Maendeleo na Chama cha Mapinduzi kinaweka bayana kuwa Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka itajikita katika kuendeleza jitihada na kuanzisha hatua ya mwanzo na ya msingi ya mapinduzi kuelekea modenaizesheni ya uchumi na ujenzi wa uchumi wa kisasa wa Taifa linalojitegemea.

Katika kipindi cha Ilani hii mchakato wa kujenga uchumi wa kisasa utekelezwa katika maeneo yafuatayo: Kwa kutekeleza haya, Chama cha Mapinduzi kitakuwa kimeandaa mazingira ya kuondoa unyonge na shida zinazowasibu wananchi wake zinazotokana na umaskini na uchumi ulioduni.

Aidha Ilani hii itakuwa kielelezo cha dhamira ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuhakikisha kuwa inaitoa Tanzania kutoka uchumi ulio nyuma na tegemezi na kupambana na umaskini kwa hamasa, dhamira na kasi kubwa. Aidha, kutokana na mafanikio hayo Serikali imeweza kuendeleza na ilai huduma za kiuchumi, kijamii na kisiasa.

Katika kipindi hiki Serikali imeweza kutekeleza mipango yake kwa ufanisi mkubwa na kuleta mafanikio ya kiuchumi yafuatayo: Mapato ya ndani ya Serikali yaliongezeka kutoka wastani wa Shilingi Bilioni kwa mwezi mwaka hadi kufikia wastani wa Shilingi bilioni sawa na ongezeko la zaidi ya mara mbili kwa mwezi mwaka Mfumko wa bei ulibaki katika tarakimu moja tangu mwaka hadi isipokuwa mwaka ambapo ulifikia kiwango cha Bajeti ya Sekta ya Kilimo imeongezeka kutoka asilimia 4.

Kutokana na umuhimu unaoongezeka wa kilimo cha umwagiliaji nchini kama hatua ya uhakika ya kupambana na njaa, Serikali imechukua hatua za kuimarisha mkakati wa umwagiliaji na miundombinu yake, kwa kuendeleza hektaza kilimo ja kuweka miundombinu ya umwagiliaji. Hatua hii imeongeza ufanisi wa matumizi ya maji kwa umwagiliaji kutoka asilimia 12 iliyokuwepo kabla na kufikia asilimia Aidha, ufanisi huo umeongeza mavuno ya zao la mpunga kutoka wastani wa tani 1.

Ukuaji wa Sekta ya Viwanda umeongezeka kutoka asilimia 8. Sekta ya Madini imekuwa na kuleta mafanikio yafuatayo: Kuanzishwa kwa Wakala wa Ukaguzi wa Ilaani Tanzania. Maeneo hayo yana jumla ya kilometa za mraba 5, Mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 2. Mapato ya Serikali kutokana na uchimbaji mkubwa yameongezeka kutoka Sh.

ILANI – CCM PARTY MANIFESTO

Thamani ya madini yanayouzwa nje imeongezeka kutoka dola za Marekani Ajira katika uchimbaji mkubwa imeongezeka kutoka wafanyakazi 7, mpaka 13, Kipindi cha miaka kumi iliyopita cha kimeshuhudia kuwepo kwa ujenzi mkubwa wa miundombinu ya barabara, viwanja vya ndege na madaraja nchini.

Miradi yote ya ujenzi ambayo haikukamilishwa kati ya imekamilishwa kati ya na kuanzishwa ujenzi wa miradi mipya. Kitakwimu, ujenzi wa miradi 15 kwa kiwango cha lami yenye jumla ya urefu wa Km. Aidha, ujenzi ambao unaendelea ni wa miradi 29 ya barabara zenye jumla ya Km.

Hiki ni kielelezo dhahiri cha mafanikio makubwa ambayo yameiweka nchi yetu katika chati ya kuwa na miundombinu ya kisasa ya barabara. Barabara Serikali imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa barabara kama ifuatavyo: Kujengwa kwa Cherezo docking yard kunasaidia ukarabati wa meli na hivyo kuongeza usalama wa wasafiri.

Mafanikio ya Kijamii Elimu Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali ya CCM imeendelea kufanya upanuzi mkubwa wa elimu katika ngazi zote. Elimu ya Watu Wazima na elimu maalumu nayo imepewa msukumo maalumu. Wanafunzi wa Elimu ya awali wameongezeka kutokamwaka hadimwakawakiwemo wanafunzi 2, wenye mahitaji maalumu. Uandikishaji wa wanafunzi wenye ulemavu umeongezeka kutoka 18, mwaka hadi 27, mwaka Uandikishaji wa wanafunzi kidato cha uliongezeka kutokamwaka hadi 1, mwaka Hili ni ongezeko la asilimia Serikali imejenga madarasa 11, nyumba za walimu na shule za hosteli 52 katika kata 2, zilizopo.

  MANNATHU PADMANABHAN PDF

Uandikishaji wa wanafunzi wa kidato cha 5 hadi 6 uongezeka asilimia 0. Ongezeko hili limechangiwa na kuongezeka kwa vyuo vya ufundi kufikia mwaka kutoka mwaka Pia vyuo vya ufundi stadi vimeongezeka kutoka mwaka hadi mwaka Kati ya hivyo vipya kimoja ni cha Serikali kinachojengwa Dodoma ambacho kitakapokamilika kitakuwa na wanafunzi 40, na kuwa ndicho kikubwa kuliko vyote nchini.

Kati yao wanafunzi 69, walipata mikopo ya elimu ya juu. Jumla ya fedha zilizotolewa kwa ajili ya mikopo iliongezeka kutoka Tshs. Mpaka kufikia mwaka vyuo 79 nchini vimekuwa vikitoa mafunzo ya ualimu. Kati ya vyuo hivyo 34 ni vya Serikali na 45 ni vya watu na mashirika binafsi.

Idadi ya walimu wa awali iliongezeka kutoka 11, mwaka na kuwa 16, mwaka Walimu wa shule za msingi waliongezeka kutokamwaka na kufikiamwaka Idadi ya walimu wapya wa sekondari waliohitimu katika vyuo ialni hapa llani imeongezeka kutoka mwaka hadi 19, mwaka kati yao 7, ni wa Diploma na Digrii 12, Serikali ilitoa Shilingi bilioni Miundombinu imeongezeka ambapo hadi mwaka nyumba za walimu 26, madarasa 79, na matundu ya vyoo 97, vimejengwa.

Utoaji wa huduma za Afya uliendelea kuboreshwa kwa kiasi kikubwa na kuleta mafanikio yafuatayo: 2001 1, vituo vya afya 20110 hospitali zimekarabatiwa. Zahanati zimeongezeka kutoka Idadi ya Madaktari imeongezeka kutoka 3, mwaka hadi 4, mwaka Vile vile idadi ya Madaktari Wasaidizi imeongezeka kutoka 9, hadi 14, katika kipindi hicho hicho.

Idadi ya Wauguzi na Wakunga imeongezeka kutoka 18, mwaka hadi 23, mwaka Aidha, ioani waliopatiwa chanjo ya surua imeongezeka kutoka 1, hadi 1, katika kipindi hicho hicho. Aidha, vyandarua 4, vya hati punguzo viliuzwa kwa mama wajawazito. Vifo vya watoto chini ya miaka 5 vimepungua kutoka kwa kila mwaka hadi 75 kwa kila mwaka Aidha, katika kuleta ufanisi wa huduma za afya, mashine za kuchunguza damu, uwezo wa figo na ini pamoja na mashine za X-Ray zimewekwa katika kila hospitali ya i,ani na huduma za maabara zimeimarishwa.

Kitengo cha magonjwa ya moyo kimeanzishwa na upasuaji unafanyika nchini. Aidha, mashine 7 za kusafisha figo zimefungwa na hivyo kuwezesha usafishaji wa figo kufanyika hapa nchini.

Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali imeendeleza juhudi za kuwapatia wananchi wa Tanzania maji safi na salama. Katika kufanya hivyo Serikali imeongozwa na lengo la kuwapatia maji watu wa mijini kwa asilimia 90 na watu wa vijijini kwa asilimia Miongoni mwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi hiki ni pamoja na haya yafuatayo: Miradi imekamilika katika wilaya mbalimbali hapa nchini na watu wanapata maji safi na salama.

Miradi mingine mingi inaendelea kutekelezwa mijini na vijijini kwa ajili hiyo. Mradi huu wa aina yake na wa kihistoria unawahakikishia wananchi wenzetu wapato milioni moja wa Mikoa ya Shinyanga na Mwanza kupata maji safi na salama.

Miradi 53 ya maji katika miji mikuu ya wilaya na miji midogo imefanyiwa ukarabati. Miradi 7 ya taifa na 8 ya miji mikuu ya wilaya imekarabatiwa. Kwa kuzingatia Imani ya CCM juu ya usawa wa binadamu na wito wa kimataifa juu ya usawa wa jinsia, Serikali chini ya uongozi wa CCM imeweza kutekeleza yafuatayo: Aidha, ushiriki wa wanawake umeongezeka pia katika nafasi mbalimbali za uongozi na utendaji Serikalini na katika Taasisi za Umma.

Kuanzisha Benki ya Wanawake. Kupitisha Sheria ya Mtoto.